Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee
 
Hata hivyo yule/ wale waliohusika kujaribu kuvuruga mawasiliano ya jamiiforums ajitokeze hadharani aeleze sababu kujaribu za kutugawanya
Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti kupata below 30 ni sawa na kucheza lotto.
Sasa hawa wa below 30 wanafaa kuolewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…