carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaza kile kibao ama teke atapewa akimshika matako[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 756975
Kwahiyo hili limetekelezwa kupisha 26042018?Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mhusika. JF si ajabu waliombwa kistaarabu tu kuzima mitambo yao mpaka 2604 ipite na si ajabu na mkwanja wamevuta. Tunachezeana akili tu na hizi stori za eti attacks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SijuiNimedanganya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mlio wa kibao utakuwa kama wa ile skrinishoti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nawaza kile kibao ama teke atapewa akimshika matako
Exactly mkuuCall out my name, BAK. Hii kitu ni motoooo
Labda 60+ [emoji2] [emoji2] [emoji2]Eti kupata below 30 ni sawa na kucheza lotto.
Sasa hawa wa below 30 wanafaa kuolewa na nani?
Pale unapoona jf imerudi hewani[emoji23][emoji23]View attachment 756942
ASANTE mkuu. Hiyo $1 makopo kadhaa ya Wanzuki sikosi. DDOS Attack my foot. Wameombwa tu waizime kuanzia usiku wa kuamkia 26 na siku karibu nzima ya tukio lenyewe. Na sitashangaa kama na mkwanja wamepewa. Najua hawawezi kusema hayo hadharani lakini jinsi JF yenyewe ilivyopotea na ilivyorudi sidhani kama ni DDOS Attack...Wewe una akili sana, njoo uchukue $1 ya Wanzuki hapa! [emoji1][emoji1][emoji1] Hiyo, DDOS Attack kafanya nani? [emoji1][emoji1]
Wewe unaonaje?Sijui
Umri wa kisheria ni miaka 18 anaruhusiwa kuolewa kwa ridhaa yake. au miaka 14 kwa idhini ya baba mzazi wa binti, ingawa hapa wadau wanalumbana kipengele hicho kifutwe. Hata hivyo raha ya ndoa kwa mwanaume mwenye umri huo ni mwanamke mwenye 30+. Kazi kwako muliza swali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na andaeitini wenzao...Wakukurushane hukooo halafu wakiamua kutulia wanatulia pamoja....Eti kupata below 30 ni sawa na kucheza lotto.
Sasa hawa wa below 30 wanafaa kuolewa na nani?
Big bratheee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MimiWewe una akili sana, njoo uchukue $1 ya Wanzuki hapa! [emoji1][emoji1][emoji1] Hiyo, DDOS Attack kafanya nani? [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwachaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mlio wa kibao utakuwa kama wa ile skrinishoti...
Waolewe na below 30 wenzao au <40. Nikiwa 40 below 30 sioi ng'o! Ni kujitafutia matatizo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda 60+ [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kasmart[emoji119][emoji119]Exactly mkuu