Hahaaaa nmeandamania moyoni bro, vipi ww ulijitokezaKwema bro. Uliandamana? Au umeandamania moyoni (kama vile tulivyo na raisi wa mioyo)?
kwema msupuu,umeshinda poa wwKwema kasmart
Hahahaha20/04 imepita
Habari wastani tu ndugu vp huko jiji tarajiwa wanasema nini?Kwema kaka, habari yako ndugu yangu?
Nilikukumbuka pia kaka,
Nilichungulia tu nikaona hakuna mtu nikarudi ndani kuchemsha tangawizi [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa nmeandamania moyoni bro, vipi ww ulijitokeza
Aya basi rudiSawaa rafiki[emoji124] [emoji124] [emoji124]