Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180426-WA0075.jpg
 
Kisheria unaweza kuoa binti ye yote ali mradi awe 18+

Ukiwa na hela hakuna kasoro yo yote....

[emoji115][emoji115][emoji115] Baadhi ya majibu ya wadau...

Binafsi nadhani binti wa 30+ anaweza kuoleka vizuri tu kwa njemba yenye 40. 30 kwa wanawake wengi ndiyo cut off age ya kuamua kutuliza konokono na kuanzisha familia. Below 30 ni viandaeitini na kupata kalikotulia ni sawa nakucheza Lotto [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
hehehe age is nothing but calchuletedi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom