Nikweli mkuu kila mtu afanye yake na maisha yaendelee ila tu ndio hivyo heshima ikae mahali pakeHuo ndiyo uanaume mkuu. Cha muhimu ni maelewano. Maadamu uko huku kwa nia njema basi bila shaka hakuna tatizo kabisa...
Hahah! Wanadiss sana wakiwa huko kwao ila wakishapata safari ya Dar hawalali vizuri siku hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kiherehere cha kwenda kuwa mwanaume wa Dar ama?
Anafurahi kuja kula chips[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kiherehere cha kwenda kuwa mwanaume wa Dar ama?
Na kuanza kufakamia supu ya pweza ili kubusti mzigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anafurahi kuja kula chips
Una bahati sana mkuu. Ngoja tu niishie hapo [emoji16][emoji16][emoji16]Nikweli mkuu kila mtu afanye yake na maisha yaendelee ila tu ndio hivyo heshima ikae mahali pake
Hahah!! Ndio kazi inayobakiNa kuanza kufakamia supu ya pweza ili kubusti mzigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!! Hii kauli sio mara ya kwanza kuniambia aisee itabidi nikutafutie muda tu unielezee kwa undani zaidi... [emoji16][emoji16]Una bahati sana mkuu. Ngoja tu niishie hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Jipokee mwenyewe
Hapana mkuu. Iishie hapa hapa na sitairudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!! Hii kauli sio mara ya kwanza kuniambia aisee itabidi nikutafutie muda tu unielezee kwa undani zaidi... [emoji16][emoji16]
Bila shaka huyu atakuwa ni mkoromije[emoji23]View attachment 757414