Habari ya asubuhi mkuuPole mkuu
Habari ya asubuhi mkuuSaa 6:08 zipo 66k haya mdogo mdgo tunamfukizia mwizi makapuku
Poaaaaa mi nipo kibaruan na nmeshaanza kushika hela mapema kabsaHahahaaaa... Umeamkaje mzee mwenzangu! Ahsante kwa kengele hiyo uliyoigonga ili tuamke. Habari ya asubuhi wakuu humu ndani
mungu ni mkuu tumeamka tena
Jambo, habari gani?Jambooo
Good morning how are you?tunaamka asubuhi na utani kidogoHahahahaaa mzee wa kibumbu, naona naona..... Good morning brother
Yes.... Nitunzie mamaanguabee mkuu
Tupo kamanda. Kumekucha tena. Ngoja tusubiri mijibaba ya hapa leo itakuwa inagombania nini [emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa hekima, niaje mkuu. Habari ya asubuhi
Amen!sifa na utukufu kwa mwenyezi MUNGU
Nsamaka njoo! Yule mtu wako kaanza tena yale mambo yake [emoji23][emoji23][emoji23]nyiramba baby... I miss you.... Have a lovely day
Kumekucha mkuu, twende tukachanganye akili ili baadae turudi na hela ya kifurushi cha likeMorning too brother
Mungu mkubwa, yaani kumbe tumemisiana!! Ngoja nikatafute hela, tutakaa kamati baadae. Good morning my sis...i miss you 2..kwema??
Hayaaaaa!!! Jamaniii!!!?Nyiramba girl nije