ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hatukubali kuendelea kudanganywa hapaEwaaaaa hivyo ndo tunavitambua sisi kama wanafamilia
Shunie aje athibitishe hapa kama mkono huu ni wenyewe....Watag na haoView attachment 757993
Asante mkuu...Father of Modern Psychology.....
Nadhani ndiye leading authority kwenye masomo ya Saikolojia...
Yuko vizuri sana sanaaa hasa alipozungumzia Psycho-analysis ambayo leo tunatumia.
Whatsapp yako nami naiomba [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Nitumie whatsapp mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo mkuu?Ntamsaidia kufanya Logistic zote.....
Tuko pamoja kiongozi,Asante mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huu uzi bwana huu we acha tu
Aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo utaelewa tu kwanini humu huwa hatununi
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah,Upo mkuu?
ASANTE mkuu. Kwa sasa nimebanana kidogo. Nikiwa na nafasi nitakushtua...Tuko pamoja kiongozi,
Nina maandiko yake kama utapenda nikuwekee baadae uyasome..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huu uzi bwana huu we acha tu
Basi sawa mkuu wangu, tuko pamoja..!ASANTE mkuu. Kwa sasa nimebanana kidogo. Nikiwa na nafasi nitakushtua...