Kweli bro, Arsenal katolewa tayali kwa sare ileATM wakiwa kwao naamini hawawezi kukubali upuuzi wa kufungwa
Hahaha unaifahamu dhahabu broSalama karibu dhahabu
Hahahaa ndio, why not kakaHahah!! Adi sanchez nae anahitaji muda kuprove ubora wake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi kakimbia masikiniMaskin davet wa watu kaenda mpaka kwa wasafisha kucha wamezisop sopu ndo akapost hahahaha huu uzi mtamu.
Yaani wewe ni chizi ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui ni watag na akina nani looh hizi kucha unaonekana mtaalam full papaso awesoooomeeeeeee
Saiv naacha udaku dah tutapoteza watu muhimu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi kakimbia masikini
I know amekwazika,nimestaafu udaku,ngoja niwe robot mieAngalieni asije akawa amekwazika....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli ngoja niacheYaani wewe ni chizi ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache davet apumzike bhana
[emoji2][emoji2]haya bhana,me naenda kutafuta ban huko siasaniSaiv naacha udaku dah tutapoteza watu muhimu humu[emoji23][emoji23]