[emoji16] [emoji16] [emoji16]Huna bashasha kabisa yaani. Kama vile siyo wewe na gaiiiiii, waiiiiiiiii, jomoniiiii. Kama Kasmart ndo anakupoozesha hivi aisee mwambie siyo poa bana. Changamka!
Niaje shiroHahahahahahaha mbona nimechangamka bro
Kasmart hata hausikii[emoji38] [emoji38]
[emoji2][emoji2]haya bhana,me naenda kutafuta ban huko siasani
As usually!
Sijui nimtukane mod[emoji19][emoji19][emoji19]natamani ban sijui kwaniniSiasan hamna ban bwana kila siku naenda kule na kuandika wasiyoyapenda wengi ila sipat ban,nabishana makubwa jukwaa la celebrity ila naikosa ban aah
Carba mambo niaje[emoji2][emoji2]haya bhana,me naenda kutafuta ban huko siasani
Numbisa mambo vpI know amekwazika,nimestaafu udaku,ngoja niwe robot mie
PoaCarba mambo niaje
Niko poa aisee, siku yako ilikuajePoa
Aje wewe
Nashukuru Mungu ilikuwa na bado iko poa sana.Niko poa aisee, siku yako ilikuaje
Aisee, kumbe ndo ilivokuwa basi mi nilijua setting za simu yangu ndo mizinguo
Iko poa sana, Nashukuru Mungu,w/kend vpNashukuru Mungu ilikuwa na bado iko poa sana.
Sijui upande wako
Yaani mimi nilihangaika hadi nikafikia hatua ya ku uninstall na ku install upya,ndo basi tena yametokea na yameshaishaAisee, kumbe ndo ilivokuwa basi mi nilijua setting za simu yangu ndo mizinguo
Iko poa sana nimeanza tangu juzi mimiIko poa sana, Nashukuru Mungu,w/kend vp
Hahaaaa yote hiyo ilikuwa Umemiss uzi huuYaani mimi nilihangaika hadi nikafikia hatua ya ku uninstall na ku install upya,ndo basi tena yametokea na yameshaisha