Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daaaa
 
1.THAMINI WATU NA VITU KATIKA MAISHA:


Mara nyingi unashindwa kutambua mchango wa watu wanaokufanyia mema katika maisha yako mpaka pale wanapoacha kufanya hivyo.
Haupaswi kuwa hivyo, inabidi uwe na shukrani kwa kile unachopata, kwa wale wanaokupenda, na wale wanaokujali.
 
Hakuna mwenye haki ya kukuhukumu. Inawezekana walisikia historia yako na kuona matukio yako lakini wewe ndiye unayejua jinsi gani unaumizwa nayo.
Hauna uwezo wa kuzuia watu waseme nini kuhusu wewe, ila una uwezo wa kuzuia mtu asikwambie maneno yake ya sumu.
 
Mhhh,
 
3.WASAMEHE WALIOKUUMIZA:


Kuna misemo inayosema; mtu wa kwanza kuomba msamaha ni shujaa na mtu wa kwanza kusamehe ni jasiri.
Ukifanya hili unayafanya maisha yako yawe huru pasipo kuwa na mashaka.
Anza sasa kuwa shujaa, jasiri, huru, na furaha katika maisha yako.
 
4.ISHI KAMA ULIVYO:


Ukifanikiwa kutambua kwamba una vitu fulani ambavyo ni tofauti na wengine usijaribu kujibadili ili uwe kama wao.
Kuwa wewe hakuhitaji gharama yoyote lakini kuwa mtu mwengine ni gharama kubwa.
Watu wakikucheka kwa kuwa wewe ni tofauti na wao, usihuzunike kwa kuwa na wao pia ni tofauti na wewe.
 
7.CHAGUA MAHUSIANO KWA MAKINI:


Ukifanya kosa katika kuchagua mahusiano yako utakuwa unajitengenezea mazingira ya kukosa furaha.
Kumpenda mtu si tu kumwambia unampenda kila siku bali kumtendea upendo kila siku.
Uhusiano unatakiwa uchaguliwe kwa hekima, usikurupukie kuwa na mtu kwa kuwa uko na upweke bali mpaka uwe tayari.
 
Sawa dada , unasomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…