Wee mchina maswali gani haya? [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ina maana nguvu za kiume ni mhimu sana Carba?
Na kweli, wa moja ni wa moja tu... Nami nilijua uniq kwa utoto alio nao ngoma haikeshi, asingeweza babe S kuvumilia usumbufu wa kitoto kile.Mambo yanajiunda yenyewe bila Mimi Kutia neno.
Mhh, wanasayansi wanafanya mambo makubwaUpasuajiHuchukua kati ya dakika sitini hadi tisini.
Mgonjwa hudungwa sindano ya nusukaputi na hupatiwa dawa za kuzuia maambukizo.
Wakati wa upasuaji,kifaa maalumu (resectoscope) huingizwa kwenye njia ya mkojo kupitia kwenye uume.
Kifaa hiki huwa kina mwanga na kamera ya kupiga picha, waya ya kukata sehemu ya tezi na pia kuziba mishipa ya damu, na njia inayopeleka maji ya kusafisha kwenye kibofu.
Sehemu inayokatwa hutumwa kwenye maabara ili ichunguzwe iwapo ina chembe chembe za saratani.
Yaani uwekwe ubrozone halafu upewe mzigo,thubutu[emoji23][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] sasa utafanyaje na yy ndo kaamua iwe hvo,inabidi usikilizie tu huko kwenye ubrozone maybe one day unaweza pewa heshima yako na ukagegeda km kawa inahitaji muda tu, mambo mazuri hayataki haraka
Kuna sehemu nilipewaga ubrozone basi bhna siku moja nikajichanganya kuomba mzgo nlipewa ban hyo sitaisahau, niliambia kama huwezi kuwa rafiki kuwa adui
Vema sana, nakusomaBaada ya upasuaji
Mgonjwa hukaa hospitalini kwa siku mbili hadi tatu baada ya upasuaji.
Baada ya upasuaji katheta au tyubu kubwa huingizwa kwenye njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.
Maji maalum husukumwa hadi kwenye kibofu na kutolewa kwa mfululizo kwa saa kumi na mbili hadi ishirini na nne.
Maji haya huwa ni ya kutoa damu au damu iliyoganda baada ya upasuaji.
Mkojo ukionekana safi bila damu yoyote, basi katheta hutolewa.
[emoji23][emoji23][emoji23]unamponza mwenzio.
KabisaaaAtakuwa hakutaki huyo si bure
SawaKunywa maji mengi kusafisha kibofu.
Zuia kwenda choo na hasa choo kigumu kwani huzidisha kutokwa na damu.
Ukifunga choo tumia dawa ya kuharisha.
Usitumie dawa za kufanya damu kuwa nyepesi bila ushauri wa daktari.
Usifanye kazi ngumu kabla ya wiki nne hadi sita.
Usifanye kitendo cha ndoa kabla ya wiki nne hadi sita.
Usinywe pombe, kahawa wala vyakula vyenye viungo vikali.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] sio zangu bwana..
Tena nitumie nafasi hii kujisafisha kwa family members wenzagu kua wasizingatie kauli yako hiyo ni yaupotoshaji kabisa, huo mkono sio wangu
Umeshindaje mama.Marhabaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Sijambo babu. [emoji23]Marhaba kijana, haujambo
Hahahaa eti ufe na kiu wakati maji unayaonaYaani uwekwe ubrozone halafu upewe mzigo,thubutu[emoji23][emoji23]
Bora friendszone hapo yaweza tokea.
[emoji23][emoji23][emoji23]pole bhana,ila na wewe ukakubali kuwa brozoned kwanini?
Ungemchana tu hutaki bhana,yaani ufe na kiu wakati maji unayo[emoji23][emoji23][emoji23]mi siwezi aiseh
Nilimwambia sina hizo nguvu hivyo nikamuomba urafiki maana nisingekuwa na madhara kwake ajabu kanikatalia.Wee mchina maswali gani haya? [emoji3] [emoji3] [emoji3]