Wewe si unaona shemeji kawa mkali bila sababu. Yani kila dada yake (akiwa mimba)(wasukuma bwana) lazima nitoe ng'ombe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acheni ujinga nyie ni usiku sasa,watu tunacheka ka wenda wazimu
Hata mimi nimeshangaa!!!! Ini abusensi ya mwenyekiti na katibu lakini chama kinazidi kukua tena bila adivataizimenti! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]CHAWAMITA haitakaa ife. Kila siku memba wapya. Wakora !!!
Yea man it is, she must not change the avatar. I think every one likes it that way.Lol! Few days ago I asked Pyaar the same question but she didn’t denie/confirm about that beautiful and sexy eye.
Alishawahi kutumia hii gia ya kukosa nguvu za kiume?Ila huyu mzee @ho cha minh si wa kumwamini sana, hata chanzo cha kutekwa kwake gia ilikuwa hiyo hiyo
Hayo sisi hayatuhusu. Siye tunataka mahari tu basi...Nasikia washabiki wa Arsenal wana mtaka Wenga asiondoke
Alikuja Tanga kutusalimia akapotelea pangani mwaka mzima. Kumbe alikamatwa na kabinti ka miaka 19. Kazi yake ilikuwa kuloeka nguo za Ho chi minhIla huyu mzee @ho cha minh si wa kumwamini sana, hata chanzo cha kutekwa kwake gia ilikuwa hiyo hiyo
Jicho linatesa watu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hahahahahaha+++!
Najua unataka ng'ombe wa nyongezaHata mzae watoto milioni sawa. Mahari utatoa tu tena mwenyewe utakuja kutubembeleza. Na tukikwambia uende ukaongee na Wenga usije kusema siye wakatili
Hahahaha+++++!Jicho linatesa watu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Hujui mila dah! Ungetoa mwanzoni hakuna mtu ambaye angekuwa anakusumbua. Sasa wewe ukabweteka na Wenga.Wewe si unaona shemeji kawa mkali bila sababu. Yani kila dada yake (akiwa mimba)(wasukuma bwana) lazima nitoe ng'ombe
Oow didnt know man, ila ni chats tu we don go deep. But its good now i know.Nimeshtuka tu maana nakumbuka tulisema huku ni like tu. Any way sio mbaya
Samuel sio nawatafuta nasikia mnapenda sana kuishi katika maisha ya kuwa na wasi wasi.unatutafuta wewe[emoji16]