Jamaniii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alikuja Tanga kutusalimia akapotelea pangani mwaka mzima. Kumbe alikamatwa na kabinti ka miaka 19. Kazi yake ilikuwa kuloeka nguo za Ho chi minh
Muda wooooote nilio kujua, nilikuwa nasubiria saaaana neno la dharau hilo la "mpare wa Gonja"Hahaha. Njooni mchukue wwngine mimi ndie Mpare mwenyewe wa Gonja. Njooni
[emoji23][emoji23][emoji23], Wala litali lyaniSisi WAGUMU tuna msemo wetu usemao, Mwanamke jicho bana! Mengine mbwembwe tu! [emoji1][emoji1]
Safi ndugu yangu.Kwema huko? Ni muda hatuja juliana haliWe Mlugaluga, niaje?
Asante shemeji. Msalimie dada na kapwa kangu (kwa udhamini wa Wenga). Mungu Aendelee kuwabariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Naomba niwatakie usiku mwema. Nimsaidie Babe S kubembeleza mtoto na yeye apumzike.
Hata wewe bado una deni.Na ndo maana nilishindwana na Nsamaka. Mimba ng'ombe,ezi ifu naoa upya.
KK anajua...Ndio, umesahau? Alisema yeye hana madhara atakuwa anazunguka tu nje kule Masaki.Akapotea mazimaaaa... Kurudi anaimba taarabu, hata sijui walimfanya nini mzee yule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee. ASANTE kunishtua. Simgusi tena mpaka atakapokuja kututafuta mwenyewe (na atakuja tu !!!)Muda wooooote nilio kujua, nilikuwa nasubiria saaaana neno la dharau hilo la "mpare wa Gonja"
Shemeji Shimba futa madai yako yote. Hapo haupati kitu, kesha jiapiza kabisa. Hao wa Gonja ni wabaili afadhali ya shuaini utamla nyama
Mmh Kuna kakipengele kanaitwa did you know channel fulani hiviWanawake hupepesa macho zaidi
Inaaminika kuwa wanawake hupepesa macho (blink) mara mbili zaidi kuliko wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23], Wala litali lyani
Amagambo?
Imakuwaje wanaposema nywele ni protein iliyokwisha kufa mwilini(dead protein) ambayo ujulikana kama kelatini, zikiwemo kucha piaNywele zinaweza kuishi kwa miaka 3 hadi 7
Je wajua kuwa nywele za binadamu ni sehemu hai ya mwili? Nywele za binadamu zinaweza kuishi kwa miaka 3 hadi 7.
Litali lyaniLitali lyao? Likondele! [emoji1][emoji1]
Kazi ya bean hiyo ID mpya ana fujo kama nini
Safi ndugu yangu.Kwema huko? Ni muda hatuja juliana hali
Litali lyani
Nilikugile emwila eyo.
Inakuwaje wanaposema kiwango cha mkojo kwa siku uzalishwa ikitegemea zaidi kiwango cha maji utakayoingiza mwilini(aqua inlet) pamoja na hali ya hewa na alcoholic take upFigo yako ina vichujio milioni moja
Kila figo yako moja ina vichujio takriban milioni moja vinavyochuja lita 1.3 za damu kila dakika na kupelekea kuzalisha lita 1.5 za mkojo kwa siku.
Hii chips leo imepata tabu
Na ndiyo maana wajeda wengi vichaa six week sio mchezo aisseeeUnaweza kukaa bila kulala kwa siku 11
Rekodi ya dunia ya mtu aliayeweza kukaa muda mrefu zaidi bila kulala iliwekwa na Randy Gardner ambaye alikaa siku 11 pekee. Inaelezwa kuwa ukikaa zaidi ya hapa utaanza kupata matatizo ya kiakili na kisaikolojia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ka nkatulawo nuumenya..Amwi chilabhoneneAmbe tulyaku elyao nililole? [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]