Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1F28E5DF-1FA4-4E98-A7CD-3E44FC2FDCB4.jpeg
 
Aongezwe msaidizi?? Kwani sina uwezo wa kuinua na kuinamisha kwa mfululizo kichwa changu ?
Unanitakia nini wee binti wa kipwani? Ninawezana nayo ujue, achana na udogo wa funguo ya semitrela... Laenda umbali mrefu na kuchemsha juu kama halikupumzishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka bila adabu khaaa!
Msaidizi ataongezwa tu hasa nyakati ukiwa unatoroka,ovaaa la sivyo uache kunitoroka
 
Ulikosea sana. Ukiwa brozoned/friendzoned kamwe usiombe mzigo. Wewe kuwa tu karibu naye na jitahidi sana ucheze michezo ya kisaikolojia hasa akiwa na bifu na boifrendi wake au akiwa lonely kihisia. Wewe hapo ndo zidisha kumjali sasa hata kumtoa out na kwenye ma night club huko; na maushauri kedekede wisdom kibao Mfalme Suleiman cha mtoto. Amini amini nakuambia siku isiyo na jina itafika na utakula mzigo bila kutegemea. Na siku hiyo ikifika basi usiwe na papara. Make love to her (don't just f**k her). Make her feel like a very special woman. Pull every trick in the book. Kumbuka kuwa women are passion beings. Hisia kwa sana...Baada ya hapo jifarague kuwa "This was a mistake na tusirudie tena please" kumbe moyoni unacheka tu. Kutokana na ile passion na utofauti uliomwonyesha kuanzia siku hiyo mwenyewe ndo atakuwa anakuita kwenda kumtafuna. Nawe usionyeshe kupunguza passion hata kama hukunogewa sawasawa. From there unaweza hata kumtwaa mzima mzima ukitaka na kujimilikisha kabisa...Busara zitaniua jamani
[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro uzuri wako busara nyingi kazi kwake jamaa
 
Back
Top Bottom