Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Safi sanaSalah ni Muislamu. Anafanya mambo yote ambayo Waislamu wanayafanya. Kabla ya mechi anakwenda kutawadha na kusali, mambo kama hayo. Tunachelewa dakika au dakika mbili kabla ya mechi ili awe tayari kwa ajili ya mechi. Ni yeye, Sadio na Emre Can ndio ambao wanafanya hivyo,” aliongeza Klopp.
Aisee,,hii dunia tunaelekea wapi