Hahah! namuelewa zaidi Kanye kwahiyo kitu kinachomuhusu lazima nitakua na mapenzi nacho pia ndio mana unaona najaribu kusafisha shem wangu Kim [emoji16].....Hahahaa mkuu unaizmia sana ile familia eeh? Nltaka nione utarespond vp,,, ila kanye ana roho ngumu na mapenzi ya kweli kwa yule dada,, kusambaa kote kule kwa ile sextape na bado akaweka ndani,,
[emoji112]Weee wakesha siyo
Kwenye avatar ni ww???[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah hahah!! Rafiki acha na mimi nipinvane na wewe japo davido namkubali pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro mfano Kim akikwambia amekutunuku game moja utakubali utakataa sema Kweli???Hahahaa mkuu unaizmia sana ile familia eeh? Nltaka nione utarespond vp,,, ila kanye ana roho ngumu na mapenzi ya kweli kwa yule dada,, kusambaa kote kule kwa ile sextape na bado akaweka ndani,,
Hahah! poa mkuu na pole kwa tatizo lako ila mods wakikurekebishia usisite kurudi kurudisha fadhira...Wadau Jf nayotumia tatzo langu ni kuwa sehemu ya like haipo Na hilo swala nishawasilisha kwa mods
Hata PM kwangu Huwa hazisomi kabisa!
Naomba niwatakie Uzi mwema!
NdioKwenye avatar ni ww???
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ndio
Nikweli ila siunajua tunatofautiana yani mimi nikikaa maskani tu naridhika kama kuna vyombo napiga ndani tu nalalaHahah kwann kaka,vunja mifupa meno bado yapo
Hahaaa et hajawahi kuona, wakati ile sextape imesambaa hadi huku kolomije ilikuwa lazma aseme hvo tu hana jinsi presdent huyo wa usa 2020Hahah! namuelewa zaidi Kanye kwahiyo kitu kinachomuhusu lazima nitakua na mapenzi nacho pia ndio mana unaona najaribu kusafisha shem wangu Kim [emoji16].....
Jamaa mwenyewe anasema hajawahi kuona hiyo kitu na hataki kuona