ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Safi sana hii series walahi
Safi sana hii series walahi
Ni nzuri Chief, habari yako?hatimaye asubuhi imewadia,
wakuu habari ya asubuhi?
Harden mzee wa beard namkubali sanaHouston Rocket timu yako nn?
Ukitaka watu wajaze questionnaire yako, waombe na uwazoee wenyeji kisha ugawe likes za kutosha. Sasa wewe unaweka link tu na kukimbia unafikiri nani hapa atabonyeza hiyo link?