Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kumekuchaaa
Alafu hata mimi sijaifungua kabisaUkitaka watu wajaze questionnaire yako, waombe na uwazoee wenyeji kisha ugawe likes za kutosha. Sasa wewe unaweka link tu na kukimbia unafikiri nani hapa atabonyeza hiyo link?
Na hii ni popote utakakokwenda hata kama ni utafiti huko vijijini na mitaani. Zoeana kwanza na watu uliowakuta siyo tu unafika mi msomi hii hapa questionnaire jazeni. Zamani wakati elimu bado elimu walikuwa wanafundisha haya mambo kwenye Field Methods 101 [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
By the way...mi nimekujazia
Bro busara Safi sanaUkitaka watu wajaze questionnaire yako, waombe na uwazoee wenyeji kisha ugawe likes za kutosha. Sasa wewe unaweka link tu na kukimbia unafikiri nani hapa atabonyeza hiyo link?