Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Elimu yetu imeshuka viwango bro. Kwema?Bro busara Safi sana
Kwema bro habari za mida hiiElimu yetu imeshuka viwango bro. Kwema?
Nzuri bro. Bado saa tisa usiku. Wamenikatia. Naomba nirudi kwenye CHACHAWA kama bado ipo. Huku uraiani kugumu sana bro !!!Kwema bro habari za mida hii
Alafu nimeona bandiko lake sehemu nyingi ye anapost Alafu jiiiElimu yetu imeshuka viwango bro. Kwema?
Hatapata mtu hata mmoja...Alafu nimeona bandiko lake sehemu nyingi ye anapost Alafu jiii
Umetoa ushauri mzuri sana.Ukitaka watu wajaze questionnaire yako, waombe na uwazoee wenyeji kisha ugawe likes za kutosha. Sasa wewe unaweka link tu na kukimbia unafikiri nani hapa atabonyeza hiyo link?
Na hii ni popote utakakokwenda hata kama ni utafiti huko vijijini na mitaani. Zoeana kwanza na watu uliowakuta siyo tu unafika mi msomi hii hapa questionnaire jazeni. Zamani wakati elimu bado elimu walikuwa wanafundisha haya mambo kwenye Field Methods 101 [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
By the way...mi nimekujazia
ASANTE Consuela. Anahangaika na hii link kila sehemu na sidhani kama anapata hata mtu mmoja. Nimemhurumia tu...Umetoa ushauri mzuri sana.
Hahaha na mimi nimeamua kuijaza tu.....Shikamoo broASANTE Consuela. Anahangaika na hii link kila sehemu na sidhani kama anapata hata mtu mmoja. Nimemhurumia tu...
Kale kasalamu ketu vipi sasa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nzuri bro. Bado saa tisa usiku. Wamenikatia. Naomba nirudi kwenye CHACHAWA kama bado ipo. Huku uraiani kugumu sana bro !!!