Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180429-WA0033.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole bro uzuri ukiwa hapa kampani ya kutosha ghafla kunakucha, chama kimekuwa na changamoto nyingi sana
Nyingine kuzishinda ni ngumu sana
Subiri sasa ex wako na shogake (aka binti mpole) wakiona hii umekwisha....

Majaribu ni mengi kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Subiri sasa ex wako na shogake (aka binti mpole) wakiona hii umekwisha....

Majaribu ni mengi kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna huyu mwingine pyaar ndio balaa kabisa jana amenikomalia hapa, akidai Eksipiriensi anayo yakutosha ya kunilea
Mpaka nikatafuta video ya Jack pemba nione anavyolelewa ni hatari bro
 
Hehehe salamu imekua kama deni [emoji28] [emoji28] .....asante sana....ubarikiwe, nikihitaji nitakustua
Nivumilie tu. Wewe ukiniona tu mahali popote nitwange hiyo salamu, kama nastahili lakini....Nami nitapunguza kukukumbusha kumbusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyo. Wadogo zetu hawa wanapaswa kutuonyesha heshima kidogo. Nakapenda sana kasalamu hako na huyu binti yeye ni mpole tu hana shida na mtu. Namheshimu sana ndo maana naliliaga kasalamu haka kutoka kwake.
Huyu Consuela ana character za kuwa wife material nimemuobzevu muda mrefu humu JF
Hypothetical lakini [emoji54][emoji54][emoji54]
 
Back
Top Bottom