myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Penda nawe upendwe
Yaa, tunasubiri muda ufike tumpige Arsenal, chief.nzuri kabisa chief,
naona mnamaliza wikiendi yenu[emoji4][emoji4]
Pyaar anakutia majaribuni eeeh!? Itabidi ukomae kama kanafunzi kaYego au ikibidi nenda tu ukalelewe. Ni bahati kupata mwenye eksipiriensi bro...Na Pyaar yeye anafungukaga tu hafichi kitu...Kuna huyu mwingine pyaar ndio balaa kabisa jana amenikomalia hapa, akidai Eksipiriensi anayo yakutosha ya kunilea
Mpaka nikatafuta video ya Jack pemba nione anavyolelewa ni hatari bro
Hiyo video ya Jack Pemba iko wapi? Nielekeze bro...(there goes my upako) [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna huyu mwingine pyaar ndio balaa kabisa jana amenikomalia hapa, akidai Eksipiriensi anayo yakutosha ya kunilea
Mpaka nikatafuta video ya Jack pemba nione anavyolelewa ni hatari bro
Nansio waaapi huko mlipo kuna baadh wanaipataHapa Nansio mbona hii Telegram ipo up and running?
Uko sahihi bro. Hana maneno mengi kabisa na post zake nyingi ni fupi fupi zimejaa busara sana. Unataka kujitosa kutesti hiyo haipothesia yako?Huyu Consuela ana character za kuwa wife material nimemuobzevu muda mrefu humu JF
Hypothetical lakini [emoji54][emoji54][emoji54]
wanaweza kugalambuka pia, chiefYaa, tunasubiri muda ufike tuwapige Arsenal, chief.
Hata kwangu ipo bila tatizoNansio waaapi huko mlipo kuna baadh wanaipata
Husna mlifikishana wapi bro?eksipiensi ya kulelewa ninayo hapa, nani anataka kunilea huyo?
Haichoshi kutizama, ina story nzuri sanaSafi sana hii series walahi
Bro Kasmart siku inaendeleaje?Haichoshi kutizama, ina story nzuri sana
Poasitaki LIKE
Savage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]P
Poa
Mmh basi mleta mada atakua na chanzo chake ila na wewe si haupo huku koromijeHata kwangu ipo bila tatizo
HahahahaahSavage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]