Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yule shemeji yangu muongo sana. Kwanza ndie alie mfanya akaachana na CarbaAlipewa mbinu na Shimba ya Buyenze..Naona anaifanyia kazi.hahaha
Penye upendo na furaha, ADUI huingia kuharibu..Uzi na udumu milele.Wanatuonea wivuuu
Wivu tuHahahahahaha! Mkatili kweli
[emoji23][emoji23]aiseeee leo umeamka vizurTena sio za mtumba hizo zenyewe kabisa, wewe na ledada mnatutesa sana humu ndani
Wana wivu haoNaona kuna mpuuzi mmoja mahali katuanzishia uzi, "eti mods wafute huu uzi wa like"
Nadhani kapagawa mahali fulani