Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Katika kushambulia walikuwa wakipitia pembeni kushoto na kulia kwa Gyan na Kwasi ambao, wakipokea mipira mirefu kutoka kwa mabeki wa kati Mlipili, Nyoni na Kotei hata muda mwingine Mkude naye alikuwa aliwapa mipira hiyo mirefu. Njia nyingine ambayo walikuwa wakitumia kushambulia ni viungo kuanzia Mkude, Kichuya na Kapombe ambao walikuwa wakiwapa pasi za mwisho Bocco na Okwi au muda mwingine kufunga wao wenyewe.