goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Habari za jumapili tulivu, ke na me.
Sio kila kitu unaweza weka msimamo hapa sijui naongelea ishu gani [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mlaumu member walegevu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataundaje chama bila misimamo
Sawa sawa mkuuJamaa msiende mjibu tena.
Daaah sikuwa na maana hiyoNikakusahu madam aisee huyu cole katuchapa kiaina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Kuna part twoUpako kwaheri yaan jana nilimaliza mb za pesa nying kwa majaribu ya hizo video,ni sawa na kunywa kinywaji kimoja lazima utaongeza kingine na kingine na kingine shida tupu
Ashindwe na alegee sehemu zoteKuna mtu dizaini ya MUSIBA anataka uzi wenu ufungiwe....... kwa pamoja unganeni kumpinga......
Anasema huu uzi ni hatari kwa ustawi wa JF
Mayango pori yapelekee nguruweRip king Majuto