Kwa Pyaar hata wewe utasalimu amri tu. Cole kasarenda sembuse wewe? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
AmenKanisa la waadventista wa sabato, linakuletea mkutano mkubwa wa injili.
Mikutano hii itarushwa moja kwa moja kupitia chanel ya morning star tv, online mstv na redio.
Mnenaji mkuu ni mch Mark Finley toka marekani.
Mch David Mbaga atakuletea masomo ya kaya na familia.
Neno kuu la mkutano:- Ufufuo wa matumaini, tumaini la leo, kesho na milele.
Ni kuanzia Mei 12 mpaka June 02, 2018
Katika uwanja wa CCM KIRUMBA MWANZA.
WOTE MNAKARIBISHWA.
Jamaa msiende mjibu tena.
Nansio hukoView attachment 760153
Koromije busy dayNimewaona, wamepita karibu na hapa nilipo! [emoji1][emoji1]
Koromije busy dayView attachment 760158
KabisaJamaa msiende mjibu tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskin kitoo carbaaa hiii koment msiione bana maana hizi sifa hatupewag akina sie