Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kanisa la waadventista wa sabato, linakuletea mkutano mkubwa wa injili.

Mikutano hii itarushwa moja kwa moja kupitia chanel ya morning star tv, online mstv na redio.

Mnenaji mkuu ni mch Mark Finley toka marekani.
Mch David Mbaga atakuletea masomo ya kaya na familia.

Neno kuu la mkutano:- Ufufuo wa matumaini, tumaini la leo, kesho na milele.

Ni kuanzia Mei 12 mpaka June 02, 2018
Katika uwanja wa CCM KIRUMBA MWANZA.

WOTE MNAKARIBISHWA.
 
Huyu Consuela ana character za kuwa wife material nimemuobzevu muda mrefu humu JF
Hypothetical lakini [emoji54][emoji54][emoji54]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskin kitoo carbaaa hiii koment msiione bana maana hizi sifa hatupewag akina sie
 
Back
Top Bottom