[emoji23][emoji23]Kuna mtu dizaini ya MUSIBA anataka uzi wenu ufungiwe....... kwa pamoja unganeni kumpinga......
Anasema huu uzi ni hatari kwa ustawi wa JF
Hahahaha lakin weweBinti mpole nikajua umelala ndio maana najiachaia kumbe upo macho [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Matango pori.....Mayango pori yapelekee nguruwe
Wanatuonea wivuuu
AmenKanisa la waadventista wa sabato, linakuletea mkutano mkubwa wa injili.
Mikutano hii itarushwa moja kwa moja kupitia chanel ya morning star tv, online mstv na redio.
Mnenaji mkuu ni mch Mark Finley toka marekani.
Mch David Mbaga atakuletea masomo ya kaya na familia.
Neno kuu la mkutano:- Ufufuo wa matumaini, tumaini la leo, kesho na milele.
Ni kuanzia Mei 12 mpaka June 02, 2018
Katika uwanja wa CCM KIRUMBA MWANZA.
WOTE MNAKARIBISHWA.
[emoji23][emoji23][emoji23]ETI uzi huu ufutwe bora ifutwe Jamii forum[emoji23][emoji23]
Nasubiria hio baadae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti mpole baadae nina neno na wewe.
Unaongelea wagumu wagumu[emoji23][emoji23]Sio kila kitu unaweza weka msimamo hapa sijui naongelea ishu gani [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Kabisa wagen wengi watakujaLeo tutapata wageni sana