Akizungumza leo Aprili 29, 2018 na wanahabari, katibu wa Voice of Sober houses, Pili Missanah amesema wamesikitishwa na mjadala uliofanyika bungeni Aprili 25 mwaka huu kuhusu nyumba hizo na amewaomba wabunge wafahamu wapo kwa ajili ya kuwasaidia waathirika hao siyo kuwaongezea matatizo.