Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi siyo matajiri wakuweza kuwahudumia watu hawa ili waweze kuondokana na utumiaji dawa hizo, lakini tunajitahidi kutoa msaada kwao na wengi hawachangii hata shilingi inakuaje leo watu waseme tunawachoma sindano ili tuendelee kupokea misaada kutoka kwao
 
[emoji116][emoji116]
FB_IMG_1524808203135.jpeg
 
Tanga.Waziriwa Afya, Ummy Mwalimu amesema shughuli za chanjo za kinga dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi zifanyike kwa ridhaa ya wazizi au walezi.

Wito huo ameutoa wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo uliyofanyika kimkoa katika Kituo cha Afya Ngamiani jijini Tanga.

Ummy amesema lazima wazazi na walezi waelimishwe ili wafahamu faida ya chanjo hiyo, kama walivyozielewa chanjo zingine ambazo watoto wanapatiwa.
 
Chanjo hii tunataka wasichana wote wapate lakini isiwe lazima kuwachanja watoto bila wazazi wao kuwa na taarifa,” amesema.

Naye kaimu mganga mkuu mkoa wa Tanga, Dk Clemence Marcell amesema mwaka 2017 wanawake 1,137 walichunguzwa, kati yao asilimia tatu walionyesha dalili na mwaka huu wameshapimwa 2,430 ambao kati yao, 46 wameonyesha dalili za ugonjwa huo.
 
Simu mpya aina ya infinix imezinduliwa nchini sambamba na kuingiza toleo jipya sokoni aina ya Hot S3.

Kuzinduliwa kwa simu hiyo kunaifanya Tanzania kuwa nchi ya 14 katika bara la Afrika kwa kutumia simu hizo, ikiwa ni baada ya Kenya kwa nchi za Afrika ya Mashariki.
 
Akizungumza wakati wa uzinduzi uliofanyika jana Aprili 28,2018 ofisa uhusiano wa kampuni hiyo, Erick Mkomoya alisema tangu kuanzishwa kwake mwaka 2013, simu hiyo imekuwa ikitumika katika nchi zaidi ya 30 duniani kabla ya kufika Tanzania.
 
Back
Top Bottom