Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpaka sasa tuna matoleo manne yaliyopo sokoni ambayo ni Zero, Hot S, Hot na Note ambazo zimetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu katika kamera ya mbele na zenye uwezo wa kutunza chaji muda mrefu na kuwekewa mtandao wa 4G," amesema Mkomoya.
 
Amesema licha ya kuwauzia wateja simu hizo, watakuwa wakiwapatia elimu namna nzuri ya kuzitumia ili kuzifanya zidumu muda mrefu.

Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita Stephen amesema katika kuhakikisha Watanzania wanapata nafasi ya kupata taarifa mbalimbali kutoka mtandaoni, watumiaji wa simu hizo watapata zawadi ya GB 2 kwa ajili ya matumizi ya intaneti na sms na dakika zakupiga simu.
 
Utamu tunao wenyewe kwenu tunafata Uterezi.
Konokono.jpg
 
Back
Top Bottom