Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako.

Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya. Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara. Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha bawasili (hemorrhoids).
 
Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini kwao husalimiana kwa kujamba na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".
 
8. Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote

Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming". Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama na hiyo huzalisha gesi ya methane.
 
Kujamba huambatana na sauti, hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.
Na misambwanda mingine huvumisha sauti utadhani spika...[emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
 
ime combine gas nyingi saana ndomana hata utokaji wake mala nyingi ni wa fujo
booooom! vuuuum! puuuuum!
 
2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?

Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio usababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama soda, maharage, kabichi na mayai.
Siku hizi kuna vidonge unameza na ushuzi unakuwa na harufu unayoitaka. Ni biashara kubwa inayoingiza mamilioni ya dola kwa mwaka. Mademu wakienda kulala kwa mabae wao wanakunywa (and vice versa)
 
Siku hizi kuna vidonge unameza na ushuzi unakuwa na harufu unayoitaka. Ni biashara kubwa inayoingiza mamilioni ya dola kwa mwaka. Mademu wakienda kulala kwa mabae wao wanakunywa (and vice versa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh aiseee ni kujitafutia ma kansa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…