Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizi salamu zimenifikia asubuhi Uwiiiiiiii
 
We mzee Rutashubanyuma una watoto wa kike?! Maana naona umeamua kuniteua niwe mkweo kwa nguvu, tatizo nina allergy na kabila lako lakini kwa sbb unanilazimisha nami itanilazimu nipande mbegu kwenu hata ikiwa ni kwa kuoa na kutaliki baada ya wiki! Siku nyingine ukiwa unatafuta wakwe uwe unapiga simu, hakuna haja ya kuanza kuwapandisha chat na kutafuta kiki kwa kupost picha zao. Kama ule mtindio umeshapona basi ujitambue, lakini kama haujamaliza dozi nitumie namba ya M-pesa nikuchangie pesa za dawa.
 
salaam zimefikaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…