Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Twende sawa mkuu,

Kwa lugha nyepesi au ya kigeni ni (WI-FI)
 
Ni njema zaidi hii teknolojia,

Hope kufikoa 2030 waya utakuwa hauna nafasi tena dunia hii.
 
Maeneo mengi ya kibiashara siku hizi mfano restauranti, hoteli na maeneo mengine ya burudani hutoa huduma hii bure kwa wateja wake wanapoenda kupata huduma za chakula na malazi.
Wanajua fika dunia ya sasa ipo kiganjani ndio maana huvutia wateja wao kwa kuweka vyanzo vya midaharishi(internet) katika makampuni yao.

Mafano mimi nipo hapa LUBUVA HOTEL nakula WI-FI la bure [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Teknolojia hii hupunguza gharama kubwa za kununua waya kwa ofisi au nyumba ambazo hupenda kuunganisha watumiaji wa intaneti mfano mnaweza kuwa na Router au MoDem moja ikaweza kuhudumia watu wengi kwa wakati mmoja.
Moderm hazina uwezo kushinda router yaani haziko strong/speed kushinda WI-FI,

Telnolojia ya waya inazidiwa pakubwa sana na teknolojia ya wireless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…