Karibu.Asante.
Maswali yanaendelea?
Unawezaje muhukumu mtu pasi na ushaidi kuwa katenda kosa au laa?Kilindo aliyekuwa mpiga debe eneo la Ubungo alisema wahusika hawakupatikana ndipo alipopelekwa mahabusu ya Gereza la Ukonga na Novemba mwaka jana alihukumiwa na kupelekwa Gereza la Kimbiji.
Pole na hongera zake.Aliishukuru Magereza kwa mafunzo aliyoyapata kwa miezi tisa aliyokaa gerezani akisema amejifunza namna ya kuishi kwa kutojihusisha na makundi ya uhalifu.
Jailer inafunza sana.Ulibaki mwezi mmoja kifungo changu kimalizike, lakini niliuona ni mrefu kwa sababu jela si kuzuri. Namshukuru Rais Magufuli kwa kunisamehe na leo nipo uraiani, namuahidi nitakuwa kijana mtiifu kwake,” alisema.
Mkuu unanijazia notifications tu stop it plsUnawezaje muhukumu mtu pasi na ushaidi kuwa katenda kosa au laa?
Aisee!Kilindo alisema akiwa gerezani alijipa moyo wa kutoka kwa msamaha kwa kuwa alijituma kufanya kazi, akitoa mfano wa Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ aliokuwa nao gereza la Ukonga, walivyotoka jela mwaka jana kwa msamaha wa Rais.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jibuMkuu unanijazia notifications tu stop it pls
Ipi sahihi kati ya Mwanamme au Mwanaume?Karibu.
KikiWema Sepetu nae aja na mpya kwa kusema . . "Napenda sana siku ya mazishi yangu waombolezaji wawe kwenye muonekanao mzuri na pia sehemu ambayo mwili wangu utafikia pawe pamepambwa vizuri kwa maua ya pinki yanayovutia,” alisema Wema mbele ya GPL . Staa huyo alifunguka zaidi kuwa kwenye mazishi yake hayo baada ya familia, mtu mwingine ambaye anataka awe mstari wa mbele kwenye mazishi yake ni staa mwenziye, Aunt Ezekiel na kudai kuwa yeye ndio ataweka ua wa kwanza kwenye kaburi lake kabla ya staa mwingine yeyote. . Wema alienda mbele zaidi na kusema kuwa kwa vile yeye ni mtoto wa Kiislam hatoruhusiwa kuagwa lakini jeneza lake lipambwe maua mengi ambapo watu watakuwa wamelizunguka na kuliombea. . “Ningependa sana baada ya familia yangu Aunt awe mstari wa mbele zaidi kuliko staa yeyote na yeye ndio aanze kuweka ua wa kwanza kwenye kaburi langu kabla ya staa yeyote yule na jeneza langu lipambwe maua mengi maana najua watu hawatoniaga,” alisema Wema.
The one and onlyISIS