Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3C6CA8FD-40E1-4F0A-9842-9DEA49ED0F66.jpeg
 
Taarifa ya habari inasomwa nami omarion5

Muhtasari- mtu mmoja aliyefahamika kama askari wa jeshi la polisi amshitaki mwenzie sababu alikaidi agizo lake la kumtia mimba mkewe.

-jamaa mmoja adai anaomba ushauri kwa wanajamvi ni baada ya kutuma picha za utupu kwenye mtandao wa kijamii wa whatsapp.

-MMU yashika hatamu kwa visa na udambwi udambwi wa kuachwa na wenza wao hasa jinsia ya kiume na kudai ya kwamba wananyimwa unyumba hali ya kuwa waume wanashinda bar na hawarudi nyummbani

-mtangazaji maarufu JOYCE KIRIA wa Eatv(east africa television) adai kunyimwa dyudyu na mumewe.

Habari zaidi tuungane na reporter wetu Shimba ya buyense
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom