Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8C199D06-890D-4C0B-B8E3-4C9AAE4B77F0.jpeg
 
Karibu kwa swali lingine.
Tunajua kifo kipo na hakiepukiki.
Je, mwanamke anapofariki (kifo cha aina yoyote, mfano. ajali ama ugonjwa)
Na muda huo akiwa na nywele bandia kichwani. Je, zile nywele bandia (Rasta, weaving,) huwa zatolewa au anazikwa nazo??? Na kama kasuka nywele zake mwenyewe (nywele za asili) je, hizo nywele hufumuliwa na kunyolewa???
 
Kuelekea katika nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madrid, kocha wa Bayern Munich, Jupp Heynckes anaamini ya timu yake kufuzu ipo, lakini anachotaka mchezo huo uamuliwe na wachezaji uwanjani na siyo uamuzi wa mwamuzi.
 
Tunajua kifo kipo na hakiepukiki.
Je, mwanamke anapofariki (kifo cha aina yoyote, mfano. ajali ama ugonjwa)
Na muda huo akiwa na nywele bandia kichwani. Je, zile nywele bandia (Rasta, weaving,) huwa zatolewa au anazikwa nazo??? Na kama kasuka nywele zake mwenyewe (nywele za asili) je, hizo nywele hufumuliwa na kunyolewa???
Kulingana na msimamo wa din na familia husika,waislam walijibu swali hili kuwa wananyoa zote

Wakristo kuna baadhi wanazika nazo tena wanapaka hadi make up pafyum. Kule mochwar nyingi kuna vipodozi kwa ajili ya familia zitakazohitaji kuremba marehemu wao
 
Back
Top Bottom