Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunajua kifo kipo na hakiepukiki.
Je, mwanamke anapofariki (kifo cha aina yoyote, mfano. ajali ama ugonjwa)
Na muda huo akiwa na nywele bandia kichwani. Je, zile nywele bandia (Rasta, weaving,) huwa zatolewa au anazikwa nazo??? Na kama kasuka nywele zake mwenyewe (nywele za asili) je, hizo nywele hufumuliwa na kunyolewa???
Maswali haya yanamhusu Mshana Jr [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunajua kifo kipo na hakiepukiki.
Je, mwanamke anapofariki (kifo cha aina yoyote, mfano. ajali ama ugonjwa)
Na muda huo akiwa na nywele bandia kichwani. Je, zile nywele bandia (Rasta, weaving,) huwa zatolewa au anazikwa nazo??? Na kama kasuka nywele zake mwenyewe (nywele za asili) je, hizo nywele hufumuliwa na kunyolewa???
Nimeshusha pumzi ndefuuu sababu ya swali lako zuri na kubwa lenye kuitaji kumakinikia sana.

Ukweli ni kwamba ukifa unakuwa hujui kama umekufa hivyo basi hakuna umuhimu wa kumnyoa nyele au kumvulia wigi lake aliyekufa unless ziwe ni itikadi za kimila na desturi.
 
Ni matumaini yangu mwamuzi atakuwa makini na kuacha wachezaji kuamua mchezo," aliwaambia wanahabari katika mkutano wake kabla ya mechi ya leo usiku.

Japokuwa Bayern imekuwa na wakati mgumu kila inapocheza dhidi ya Real, lakini ilo si jambo linamtia wasiwasi Heynckes.
 
Haijalishi ni mara ngapi tumepoteza mechi zetu dhidi ya Madrid kwa sababu sikuwa kocha wa Bayern," aliendelea.

"Jumanne ni mechi nyingi na hayo mengine hayajalishi.

"Itakuwa ni mechi ngumu kwetu, lakini hata Madrid pia.

"Mazingira yatakuwa magumu, lakini nina wachezaji wenyeji uzoefu na wanaojua watunataka kucheza fainali.
 
Kiungo ghali wa Manchester United, Paul Pogba, ametoa onyo kali kwa wapinzani wao msimu ujao akisema, watauwasha moto kwelikweli.

Pogba amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na kushuka kiwango uwanjani, amesema sasa anajiona amekomaa zaidi na kujifunza mbinu za kutekeleza majukumu yake.
 
Back
Top Bottom