Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashabiki wa Liverpool walivamia mitandao ya Jamii kuonyesha kutofurahishwa kwao na shabiki mmoja aliandika katika mtandao wa Twitter akisema “Hiyo ni Kadi nyekundu ya nne kwa Keita msimu huu. Nina wasiwasi na jambo hilo.”
 
Mwingine aliongeza kwa kusema “Naby Keita ni mjinga. Kadi nyingine nyekundu katika dakika za mwisho za mchezo.” Shabiki mwingine wa tatu aliandika “Naby Keita anapenda kadi nyekundu au sio?”
 
Mashabiki wa Liverpool wamekuwa wakimsubiri kiungo huyo ambaye sifa zake zimekuwa nyingi licha ya kutumuona na wanaamini kwamba atakuwa injini nyingine Anfield baada ya kufanya vema akiwa nchini Ujerumani huku kikosi chao kikiendelea kuimarika msimu huu.
 
Sijui nikuchane ukweli aah acha tu nibakize rafik mmoja,poti bana hata picha ya samaki hautuonyeshagi mie nahisi hizo nyavu unatupa kwa binadam sio samak bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na utakuta si ajabu uvuvi wake anafanyia hapa hapa kwenye uzi wetu pendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaniiii...(Stereotypes)
852734321_190447.jpg
 
Lugha ni mfumo tata dhahnia razini (language is a complex abstract intelligent system) ambao unazingatia mambo mengi sana katika utendakazi wake yakiwemo misingi ya kisementiki (kimaana), kimatamshi (Fonetikia) na hata sababu za kijamii, kitamaduni na kihistoria. Hata kama ruwaza (patterns) zingeruhusu bado mwanauke isingekubalika kwa sababu kisemantiki (kimaana) ina ukakasi kwa jamii lugha inayohusika. Hata mwanaume ingekuwa mwanauume (ili kuleta upatano wa kisemantiki na mwanauke), bado isingekubalika pia.

Tunazichukulia lugha kama kitu rahisi rahisi tu lakini ni mojawapo ya mifumo tata kabisa ambayo inamtambulisha binadamu na kumtenga na wanyama wengine wote; na binadamu ameweza kukifikia cheo cha uHomo Sapiens kwa sababu ya lugha. Bila lugha ingemuwia vigumu kufikiri na fikra ndiyo silaha pekee iliyomfanya awe juu ya msimbo tata wa chakula (food chain) pamoja na ukweli kuwa ni dhaifu sana kimaumbile akilinganishwa na wanyama wengine wenye meno makali, ngozi ngumu, mbio za kutisha, sumu kali n.k. Ndiyo maana sehemu nyingi tu za ubongo wake zimetengwa maalum kwa ajili ya umuduji wa lugha (language competency).

Hongera kwako Pyaar unayemudu lugha zaidi ya tano. Wanaisimu ya Ubongo (Psycholinguists) wameshathibitisha kuwa ubongo wa mtu anayemudu lugha zaidi ya mbili una neurons nyingi zaidi na zinawasiliana kwa ukaribu zaidi na sasa tafiti mpya zinaonyesha kuwa kufahamu lugha nyingi kunabadilisha mfumo wa ubongo kiasi kwamba inakuwa vigumu kushambuliwa na magonjwa ya kusahau sahau kama dementia na hata Alzheimer...

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Sorry nimeandika gazeti. Niko hivyo sometimes hata kama sina point ya maana [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Asante kwa ufafanuzi mzuri bro
Deep sana
 
Back
Top Bottom