Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hivi karibuni kiwango cha Pogba kilizusha mjadala mkubwa huku wachambuzi wa soka barani Ulaya wakimponda, ambapo Mourinho aliamua kufanya kitu fulani ili kumweka sawa kiakili.
Mourinho alianza kumpiga benchi na kumtoa mara kwa mara na nafasi yake kuchukuliwa na kinda, Scott McTominay jambp ambalo lilizusha mjadala mzito.
Mourinho alianza kumpiga benchi na kumtoa mara kwa mara na nafasi yake kuchukuliwa na kinda, Scott McTominay jambp ambalo lilizusha mjadala mzito.