Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aiseee mbona balaa hiliHuwa inatokea kumtengenezea picha muandishi na unagundua hisia zake yani hisia(mapenzi) ni kikohozi huwezi ficha ata ukiandika
Ona sasa DaahEwaaaaaaaaaa
Agiza pepsi naja kulipa[emoji28][emoji28]
Hahah!! Hili nililijua mapema sana kwamba litatokea, aya leta jibu na sisi tumsaidie kusoma@Davet kasema hajaridhika.
Subiri nakuletea jibu sasa hivi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]naenda kutubu kabisa kabla sijajibu
Ngoja tuone jibu analoleta CarbDhahiri mkuu Davet majibu sio mujarabu kabisa
Aisee kwanini ututendee ukatili kiasi hichi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niache basi[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23] sio ulete kwanza ndio ukatubuNamletea jibu sasa hivi,ngoja nikatubu kwanza[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wahehe nao leo walikuwa wanasubiri Iringa iwe JIJI [emoji23][emoji23][emoji23]
Naam!Asante sana
...... .......Umeshaona ,huwezi acha endelea Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhudumu Pepsi moja baridi tafadhari alafu bili iende kwa yule pala dada mwenye miwani...Ewaaaaaaaaaa
Agiza pepsi naja kulipa[emoji28][emoji28]
Kabisa mkuuAiseee mbona balaa hili
Hisia kumbe zipo specific kabisa?????
Kama linaliwa yes[emoji4][emoji23][emoji23] unaweza kula liyai jeusi wewe?
Mmh ukiliona utaliogopaKama linaliwa yes[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23]UsikuUsiku ama mchana?
Nataka niandae karamu kwa ajili yake[emoji23][emoji23]