Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maafisa wa IUCN wamependekeza mbinu za usimamizi zinazowajumuisha wadau wote katikabonde la ziwa hilo pamoja na taratibu za maji ya kinga ya uhai wa viumbe zitumiwe kuhakikisha kuwa mifumo ya ikolojia kwenye maji baridi inaendelea kutoamaji, bidhaa na huduma kwa mifumo mingine ya ikolojia kwa uendelevu, na wakati huo huo ikiendelea kusaidia viumbehai.
"Hali hii itasaidia kudumisha faida za kijamii na kiuchumi za bonde hili," shirika hilo linasema.
 
Bonde la Ziwa Victoria linatambulika kimataifa kwa kuwa na idadi na aina nyingi za viumbehai tofauti wanaoishi kwenye maji yasiyo ya chumvi na wanaopatikana katika bonde hilo pekee, ambao wana umuhimu mkubwa kwa maisha ya wenyeji na kwa uchumi wa taifa katika bonde hilo.
Bonde hilo linahifadhi aina nyingi za viumbehai wakaao kwenye maji yasiyo ya chumvi, ambao wanachangia kuwepo kwa aina nyingi ya mifumo ya ikolojia.
Utafiti wa shirika la IUCN uligundua kati ya viumbe wa maji safi 601 waliochunguzwa, viumbehai 204 ni wa asili ya ziwa hilo (sawa na asilimia 31.3)
 
Kiwango hiki cha uasilia ni cha juu miongoni mwa samaki ambapo asilimia 78.2 waligunduliwa kuwa wa asili ya ziwa hilo.
Bonde la Ziwa Victoria hujumuisha ziwa hilo na maeneo yenye mito inayomwaga maji ndani ya ziwa hilo. Ziwa Victoria ni ziwa lenye maji yasiyo ya chumvi la pili kwa ukubwa wa eneo duniani ambapo ukubwa wake ni kilomita mraba 68,800. Ziwa Victoria linapatikana Kenya, Tanzania na Uganda.
 
Eneo lote la bonde ni la kilomita mraba 193,000 na hushirikisha mito na maziwa yanayopatikana Rwanda na Burundi.
Wakazi wa mataifa yenye bonde la ziwa hilo ni asilimia 30 ya wakazi wa mataifa hayo matano, jumla ya watu 42 milioni.
 
Wahehe nao leo walikuwa wanasubiri Iringa iwe JIJI [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imekula kwao
 
Ni uchovu tu wa kawaida siumwi. Baadaye ya lini? Kaone...[emoji23][emoji23][emoji23]
Me too huwa inatokea hivyo ndo maana nakwambia hivyo hasa sie wamwaga magazeti na mapicha humu inafikia kipind akili na vidole vinachoka kabisa. Hapa nilipo nimebakiza gazet moja reeeefuuu huwa namwaga hukooo sehemu sehem kila siku
 
.
IMG-20180501-WA0077.jpg
 
Back
Top Bottom