Daaah haya makofi makali acha tu niliona bora nikupumzishe,kijana mpole anafunguka si mchezo@Numbisa hadi watu wanatoa ya moyoni hivi kwanini hujaniita??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah nimekatwa stimu leo aaah ni sauti ya mchepuko kuona hakuna dalili za buzi kuongeza posho
Una bahati sijisikii vizuri otherwise ningekuwashia moto balaa....Sijui tulikulia nini !!!Kutoka kwa mpigapicha wetu wa koromije,[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 762713
Teenaa sifa mia mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cole bhana.
Naona ulivumulia hadi ukaamua kama mbwai iwe mbwai tu acha umsifie.
Kama vingine siviogopi hakika sitaliogopa[emoji38]Mmh ukiliona utaliogopa
Hausahau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ni vya mechi ama mazoezi??
Baizewei lile bumunda bado nalitamani[emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una bahati sijisikii vizuri otherwise ningekuwashia moto balaa....Sijui tulikulia nini !!!
Basi sawa rafiki nitakufanyia mpangoKama vingine siviogopi hakika sitaliogopa[emoji38]