it's true,ngoja nitafute tools tuanze kuchimbua.Black american originated from africa for 50% it was a choice,eg from our puppet leaders who collaborated with whites instead of their fellow africans. Slave trade started in Africa before industrial revolutions. Waafrika ni waafrika tu tukichimba kauli ya kanye kuna ka ukweli hapo.
Punguzeni umbeaSi kwa michambo hii
Angekuwepo empty set ingekua ngaz ya kujipatia ban[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni sawa na kuuliza watanzania wote ni sawa kuteseka kisa magu ni rais na kuambiwa walimchagua wenyewe?choice ya wachache inaathiri umati wa wengi mnoNakuelewa .. najua unaelewa kuhusu puppets leaders unaowazungumzia. My stand is wth those slaves, ambao ni origin ya kina Kanye. Ni kweli walichagua kua slaves??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sio mimi matheeGaaaiiiiio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salamu haiuwi baizewei,salimia basi
Itakua iliisha ila ID zikaunganishwaBan yake haijaisha bado?
kuna dada moja mrembo nilitaka kuoa akasema mimi sio hadhi yake anataka kuolewa na mzungu.Naamini yuko sahihi. It was a choice. It is still a choice. Sema tu watu huwa hatutaki kuambiwa ukweli. Unafikiri hao wazungu walikosa kwingine koote huko mpaka wakaja kutubeba sisi...
Leo mambo si yale yale? Au kwa vile minyororo ya sasa haionekani?
+ ubabe mwingiIla lifisadi balaa...
Na kwenye jamii inayoabudu matajiri hata kama ni majizi linaonekana limeukata kweli kweli...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakwambia leo tunapewa za uso tu
Usiku wa kuviziana[emoji23][emoji23][emoji23]