myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
You are right and they did betray their fellow Africans yea .. unajua hapa kuna groups watawala na raia. watawala ni wa Africa ambao hawajawai kua slaves, raia ni slaves na ndio Kanye anawanyooshea vidole. Kwa situation hii, choice inatoka wapi kwa huyu raia? Kanye ana make sense?? Kama ingekua ni choice kwanin wali fight getting their freedom back??Alichokiongelea kanye ni kitu kidogo kwa kukiangalia juu juu ila kwa ndan ni kikubwa na kirefu mno walisalitiana wao kwa wao na masultan,watemi,wafalme walikua maajent wa kukamata na kuuza watumwa,hao waafrika waliopo america wametokea huku so chimbuko linaanzia slavey mode of production kama sio feudalism
Damu ya watakatifu feki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinyaji gani hiki?
Poleni waungwana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwenzangu hadi tunaonekana tunajiongelesha wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu Chief.Ningekuwa na muda tungehojiana. Ila kwa sasa nakubaliana na wewe. Siku nikiwa tayari na mazagazaga yangu nitakushtua. Bravo!!!
Sidiria mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna tatizo gani na huyu binti mkuu? Ni huo msalaba ama?
Kwema sana bro shimba!Kwema bro Shedede?
Nilikuwa sijakusikia leo...Usiku unaingiaje?