ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Naupendaa
Naupendaa
Unaichukua tiket ya ex unaificha
Cecile- When you are gone
Robbie Williams- Go Gentle
Wacha nizidownloadSarah Mclachlan- Time
Hahahahaha!!Unaichukua tiket ya ex unaificha
Jana hakukua na timu yangu pale sikufatilia walaNimeamka poa, jana kuliendaje kwenye match?
Yaan ukisema ukapigane utaonekana kituko hasa kwa jamii zetu hizi za kushobokea michepukoHahahahaha!!
Unamuona mjinga tu, unamuacha aendelee na safari yake..Hata ukimnyang'anya kama kaamua kuendelea kuwa msaliti atafanya tu kwa kutumia mbinu zote azijuazo..
Akichoka ATAACHA mwenyewe..
Mzima mumie?
Anha sawa maaJana hakukua na timu yangu pale sikufatilia wala
Lazy SongIf i knew
Balaa BalaaNaupendaa
Locked out of heavenLazy Song
Unaichukua tiket ya ex unaificha