Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

31109156_428455917624981_4822870857451831296_n(1).jpg
 
hii kitu inakaa na chaji muda gani maana ninampango wa kuilipia mahari.
Mjomba hii kitu si ya kawaida kabisa unaambiwa chaji inakaa masaa 12 ukiwa unacheki movie siku 30 ikiwa standby

12hrs playback movies
30days standby

Hapo hukiwa unafanya mambo mengine na sio movie itakaa zaidi ya hayo masaa.

Makofi mengi kwa hiyo kitu[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom