Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha!!
Unamuona mjinga tu, unamuacha aendelee na safari yake..Hata ukimnyang'anya kama kaamua kuendelea kuwa msaliti atafanya tu kwa kutumia mbinu zote azijuazo..
Akichoka ATAACHA mwenyewe..

Mzima mumie?
Yaan ukisema ukapigane utaonekana kituko hasa kwa jamii zetu hizi za kushobokea michepuko

Mzima kabisa,za asubuh?mmeamka salama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…