sweetlee
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 4,050
- 14,770
[emoji106]Nzuri mpendwa
[emoji106]Nzuri mpendwa
Uchu mkaliHapa Zuma anaonesha kajichagulia kitu kitamu mpaka mate yanamjaa
View attachment 764585
Pambana hali hiyo msee
Njema mrembo wa NguvuHabari zenu wapendwa wa Mungu
salama sijui kwako..Habari zenu wapendwa wa Mungu
Davet mkali WAONakweli kajua kupoint
Habari za nyumbani?Njema mrembo wa Nguvu
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe![]()
azamtvtzMkazi wa Mbezi, Frank Japhet (23) amedaiwa kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mlandizi, mkoani Pwani, baada ya mzigo wa mahindi unaokadiriwa kuwa na uzito wa kilo 20 aliodaiwa kuuiba kung'ang'ania kichwani.
Kwa maelezo ya mtuhumuwa huyo aliyoyatoa kituoni hapo, mzigo huo wa mahindi, uliofungwa kwenye kiroba aliuiba kwa mama mmoja eneo la Mtaa wa Nyambwiro, Mlandizi, Kibaha majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo.
Amesema, alipoondoka na mzigo huo hadi eneo la stendi ya Mlandizi alipotaka kuacha kwa mwenzake ili arudie mzigo mwingine, ndipo mzigo huo ulipomng'ang'ania kichwani.
Salama Kabisasalama sijui kwako..
Nice![]()

Namtafuta mwenye mzigo [emoji23][emoji23]![]()

Mbona unaniingilia kila ninakopitua Cole?Njema mrembo wa Nguvu
Ooh! Niaje bro?Davet mkali WAO
Taraatibu ColeeNjema mrembo wa Nguvu