Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


azamtvtzMkazi wa Mbezi, Frank Japhet (23) amedaiwa kujisalimisha katika Kituo cha Polisi Mlandizi, mkoani Pwani, baada ya mzigo wa mahindi unaokadiriwa kuwa na uzito wa kilo 20 aliodaiwa kuuiba kung'ang'ania kichwani.
Kwa maelezo ya mtuhumuwa huyo aliyoyatoa kituoni hapo, mzigo huo wa mahindi, uliofungwa kwenye kiroba aliuiba kwa mama mmoja eneo la Mtaa wa Nyambwiro, Mlandizi, Kibaha majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo.
Amesema, alipoondoka na mzigo huo hadi eneo la stendi ya Mlandizi alipotaka kuacha kwa mwenzake ili arudie mzigo mwingine, ndipo mzigo huo ulipomng'ang'ania kichwani.
 
Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
 
Nice
 
Namtafuta mwenye mzigo [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…