Sana..Kumekucha eeeh !!!
Sasa wakiwa hawana kitu ndo hawafai?Mtoa uzi hajaongelea kutulia/kutotulia..
Anadai bado wapo kwenye utafutaji wa pesa, hawana kitu.
Likes zinaendelea kutolewaHatupoi
Kweli, kila mtu ana mtazamo wake..Sasa wakiwa hawana kitu ndo hawafai?
Kama ni hivyo pengine mleta uzi naye bado ni andaeitini...But again kila mtu na lwake !!!
[emoji23][emoji23]Itabidi ifike mahali tupoe tu kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha...Rosa Mistika (Na Euphrase Kezilahabi). Ua waridi lenye fumbo !!!Kweli, kila mtu ana mtazamo wake..